Single Announcement

News Title: TAARIFA KWA UMMA | USAJILI WA WANAFUNZI CHUO CHA MIPANGO KWA MWAKA WA MASOMO 2021/22

Posted On : Sun, 17 October, 2021

Description :

Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, anapenda kuwatangazia wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini kwa ngazi mbalimbali kuanzia Certificate, Diploma, Bachelor Degree, Post - Graduate Diploma na Masters kuwa Usajili (Registration) utaanza rasmi kuanzia siku ya Jumatatu tarehe 18/10/2021.
Hivyo wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Chuo wanatakiwa kuripoti Chuoni mapema kwaajili ya kufanya Usajili na Masomo yataanza tarehe 25/10/2021.