Single Announcement
MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA ASTASHAHADA YA MSINGI (BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE) KWA MWAKA WA MASOMO 2023/2024

UDAHILI WA KOZI YA ASTASHAHADA YA MSINGI (BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE) KWA MWAKA WA MASOMO 2023/2024

Kwa waombaji ambao hawakuchaguliwa na Serikali wanaweza kufanya maombi moja kwa moja chuoni kupitia https://oas.irdp.ac.tz

Posted On : Wed, 14 June, 2023