ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA SHAHADA YA KWANZA (BACHELOR DEGREE) KATIKA CHUO CHA MIPANGO 2022/2023
Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) anawapongeza wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Mipango kwa mwaka wa masomo 2022/2023.
Posted On : Tue, 20 September, 2022