Wajumbe wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini na baadhi ya Viongozi wa Chuo, Leo Alhamisi Desemba 15, 2022 wamehitimisha mafunzo ya uongozi yaliyoratibiwa na Taasisi ya Uongozi (Uongozi Institute). Mafunzo haya yamefanyika kwa vipindi tofauti kuanzia Mei 26, 2022.