Dkt. Godrich Mnyone (wa kwanza kushoto) ameungana na viongozi wa mkoa na wananchi wa Dodoma katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoa wa Singida yaliyofanyika katika kijiji cha Bahi, Wilaya ya Bahi.Dkt. Mnyone alimwakilisha Mkuu wa Chuo Prof. Hozen Mayaya.