Mwenyekiti wa Kamati ya Taaluma ya Baraza la Uongozi wa Chuo Profesa Francis Mwaijande ( kushoto) akiongoza kikao cha 88 cha Kamati ya Taaluma cha Baraza la Uongozi wa Chuo Jumatano tarehe 5 Agosti, 2026 .
Pamoja na mambo mengine, Kamati ilipokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za Taaluma kwa kipindi cha Aprili hadi Juni 2026.
Register Now