Event

KIKAO CHA 140 CHA BARAZA LA UONGOZI WA CHUO

  • 2025-03-03 13:49:06

Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Prof. Joseph Kuzilwa ameongoza Kikao cha 140 cha Baraza kilichofanyika Ijumaa Februari 28, 2025 katika Kituo cha Mafunzo cha Kanda ya Ziwa – Mwanza.

Subcribe weekly newsletter
Register Now