Event

MAONESHO YA 49 YA KIMATAIFA YA DAR ES SALAAM (DITF)

  • 2025-07-04 16:02:28

Wadau mbalimbali wameendela kutembelea Banda la Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwl. Julius Kambarage Nyerere, Barabara ya Kilwa, Mkoani Dar es salaam.

Subcribe weekly newsletter
Register Now