Event

IRDP BINGWA MCHEZO WA DRAFT TIMU YA WANAWAKE MEI MOSI 2026

  • 2026-05-08 08:34:13

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Bi. Sophia Kambaya  kikombe cha mshindi wa Kwanza  Kitaifa kwa mchezo wa Drafti wanawake.  Bi. Sophia Kambaya ni mtumishi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini.

Subcribe weekly newsletter
Register Now