Mwenyekiti wa Kamati ya Ukaguzi ya Baraza la Uongozi wa Chuo, CPA Dkt. Samwel Werema (kushoto), akiongoza kikao cha Kamati ya Ukaguzi kilichofanyika, Alhamisi tarehe 6 Agosti 2026.
Pamoja na mambo mengine, Kamati ilipokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za Mratibu wa Viashiria Hatarishi, Maendeleo ya Kamati ya Ukaguzi, pamoja na Taarifa ya Uendelevu wa Mazingira, Jamii na Utawala Bora (ESG) kwa mwaka 2025/26.
Register Now