MINISTRY OF FINANCE

INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING

Kupanga ni Kuchagua

Event

Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani 2024.

  • 2024-03-08 23:58:05

Wanawake wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini wameungana na Wanawake wengine Duniani kote kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani leo Ijumaa tarehe 8 Machi 2024 wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma.

Mgeni Rasmi katika Maadhimisho hayo ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii jinsia, na makundi maalumu Mhe. Dorothy Gwajima

Kauli mbiu: 'Wekeza kwa Wanawake Kuharakisha Maendeleo ya Taifa na Ustawi wa Jamii'

Subcribe weekly newsletter