MINISTRY OF FINANCE

INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING

Kupanga ni Kuchagua

Event

Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Mipango pamoja na Viongozi waandamizi wa Chuo.

  • 2024-02-28 11:45:41

Wajumbe wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Mipango pamoja na Viongozi waandamizi wa Chuo wakiwa kwenye mafunzo ya Mfumo Mpya wa Ununuzi Serikalini ( National e-Procurement System of Tanzania - NeST).

Mafunzo hayo yanafanyika katika Ukumbi wa Miramonti hoteli Jijini Dodoma.

Mwezeshaji wa Mafunzo haya ni Bw. Casto Komba ambaye ni Meneja Mafunzo kutoka Mamlaka ya Ununuzi kwa Umma (PPRA).

Subcribe weekly newsletter