Event

MAONESHO YA NANENANE 2025

  • 2025-08-07 13:29:20

Baadhi ya Wazazi wakipata ufafanuzi wa shughuri na huduma zitolewazo na Chuo cha Mipango kutoka kwa Afisa Udahili Bw. Shiraz Msuya ( wa pili kushoto) na Mkutubi Bw. Peter Bikanda (wa tatu kushoto) katika Maonesho ya Nanenane Kanda ya Ziwa Magharibi walipotembelea banda la Chuo katika Viwanja vya Nyamuhongoro Manispa ya Ilemela Mkoani Mwanza Jumapili Agosti 03, 2025.

Subcribe weekly newsletter
Register Now