MINISTRY OF FINANCE

INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING

Kupanga ni Kuchagua

Event

Zoezi la Upandaji miti Chuo Cha Mipango.

  • 2024-01-30 11:47:46

Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP), Prof. Hozen Mayaya kwa niaba ya Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akiongoza viongozi mbalimbali katika zoezi la upandaji miti katika chuo hicho, leo Januari 28,2024 ambapo jumla ya miti 100 inapandwa katika eneo la Miyuni Kaskazini Dodoma.

Subcribe weekly newsletter